Nyie wadada wa JF, mnapenda wanaume wa Dar au wa mikoani?

Wrong question hii. Uzi upo specific kwa wadada kutoa judgment.
 
Wrong question hii. Uzi upo specific kwa wadada kutoa judgment.

Barida / Sawa Mkuu ila nadhani kama ulijua kuwa ni Wrong Question tokea mapema tu basi usingenipotezea muda wangu nikupe ufafanuzi wa Swali lako uliloniuliza.
 
Inaonekana unapenda sana kusimamiwa nyuma na wanaume sio?
 
Ww sasa unanipeleka kwenye ukabila...
Hapana, wewe upo convinced sana na mwanamume wa dar au mkoani?

Mfano wakaja wanaume wawili bora kabisa na wanaoendana na vigezo unavyotaka mumeo awe navyo,, mmoja ni wa mkoani na mwingine ni wa dar, utachukua yupi?
 
Barida / Sawa Mkuu ila nadhani kama ulijua kuwa ni Wrong Question tokea mapema tu basi usingenipotezea muda wangu nikupe ufafanuzi wa Swali lako uliloniuliza.
Swali la kwanza lilikua tata. That's why nikataka maelezo ili nielewe ndo nikupe jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…