kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Wajinga kabisa!
Leo nawachana.
Weekend ya J2 ambayo ni jana nilikwenda restaurant karibu na pale TipTop night club. Huduma zenu ni nzuri ila wahudumu wenu wanaharibu.
Niliagiza energy zangu nne za Mo. Kwa kuwa hawawekagi muziki nilibeba radio yangu nikawa nasikiliza amapino,ni zile radio zenye bass.
Nikapiga chap energy nne kwa kuwa nilikuwa na kiu. Kukata jicho pembeni wananishangaa nikawatukana moyoni. Nilichukia sana
Hivi wahudumu wa Bongo mbona majinga hivi??!
Nikaagiza chakula na nikaagiza wali( sahani ni 2500) nikawaambia walete sahani nne separately, nikachanganya sahani mbili mbili na kuipiga misosi taratiiibu na energy nyingine niliyoagiza.
Nikaagiza energy moja na utumbo wa kuku nikawa nakula pamoja na half cake 5.
Chanji wamenisubirisha nusu saa nzima.
Kuja bill nikalipa safi tu nikatembea zangu kuelekea Lambo.
Na siyo kusema mimi ni mgeni pale ila ni ujinga ujinga wao tu. Kila nikienda si enjoy kula kwa raha.
Sirudi tena. Mtu unashindwa hata kula kwa raha bhana. Naona wanaleta mazoea
Next time nitawataja live msipojirekebisha. Kwanza chakula chenyewe mnapunja basi tu
Hela ni yangu na natafuta kwa shida! Hivyo kuweni wastaarabu kwenye starehe za watu.