Nyie wadada wa pub acheni ushamba na kushangaa shangaa hovyo

Wajinga kabisa!

Leo nawachana.

Weekend ya J2 ambayo ni jana nilikwenda restaurant karibu na pale TipTop night club. Huduma zenu ni nzuri ila wahudumu wenu wanaharibu.

Niliagiza energy zangu nne za Mo. Kwa kuwa hawawekagi muziki nilibeba radio yangu nikawa nasikiliza amapino,ni zile radio zenye bass.

Nikapiga chap energy nne kwa kuwa nilikuwa na kiu. Kukata jicho pembeni wananishangaa nikawatukana moyoni. Nilichukia sana

Hivi wahudumu wa Bongo mbona majinga hivi??!

Nikaagiza chakula na nikaagiza wali( sahani ni 2500) nikawaambia walete sahani nne separately, nikachanganya sahani mbili mbili na kuipiga misosi taratiiibu na energy nyingine niliyoagiza.

Nikaagiza energy moja na utumbo wa kuku nikawa nakula pamoja na half cake 5.

Chanji wamenisubirisha nusu saa nzima.
Kuja bill nikalipa safi tu nikatembea zangu kuelekea Lambo.

Na siyo kusema mimi ni mgeni pale ila ni ujinga ujinga wao tu. Kila nikienda si enjoy kula kwa raha.
Sirudi tena. Mtu unashindwa hata kula kwa raha bhana. Naona wanaleta mazoea

Next time nitawataja live msipojirekebisha. Kwanza chakula chenyewe mnapunja basi tu

Hela ni yangu na natafuta kwa shida! Hivyo kuweni wastaarabu kwenye starehe za watu.
Sasa kwa haya wasikushangae?
 
Ut

Hela ni yangu na natafuta kwa shida! Hivyo kuweni wastaarabu kwenye starehe zawatu
Utakuwa na minyoo sugu ww CYO bure,ule vyakula vyote ivyo hataka ndo hela umetafuta hapana umezidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona ni kawaida hiyo mkuuu [emoji848][emoji848] kuna vidume vinakula ww acha kabisa
 
Wajinga kabisa!

Leo nawachana.

Weekend ya J2 ambayo ni jana nilikwenda restaurant karibu na pale TipTop night club. Huduma zenu ni nzuri ila wahudumu wenu wanaharibu.

Niliagiza energy zangu nne za Mo. Kwa kuwa hawawekagi muziki nilibeba radio yangu nikawa nasikiliza amapino,ni zile radio zenye bass.

Nikapiga chap energy nne kwa kuwa nilikuwa na kiu. Kukata jicho pembeni wananishangaa nikawatukana moyoni. Nilichukia sana

Hivi wahudumu wa Bongo mbona majinga hivi??!

Nikaagiza chakula na nikaagiza wali( sahani ni 2500) nikawaambia walete sahani nne separately, nikachanganya sahani mbili mbili na kuipiga misosi taratiiibu na energy nyingine niliyoagiza.

Nikaagiza energy moja na utumbo wa kuku nikawa nakula pamoja na half cake 5.

Chanji wamenisubirisha nusu saa nzima.
Kuja bill nikalipa safi tu nikatembea zangu kuelekea Lambo.

Na siyo kusema mimi ni mgeni pale ila ni ujinga ujinga wao tu. Kila nikienda si enjoy kula kwa raha.
Sirudi tena. Mtu unashindwa hata kula ,unategkwa raha bhana. Naona wanaleta mazoea

Next time nitawataja live msipojirekebisha. Kwanza chakula chenyewe mnapunja basi tu

Hela ni yangu na natafuta kwa shida! Hivyo kuweni wastaarabu kwenye starehe za watu.
Uwe unawakaribisha chakula, unategemea wakale wapi?
 
Mheshimiwa prezidaa fungua ajira ona vijana wanavyo rukwa akili...
 
[emoji1][emoji1][emoji1] nisje enda na mimi wakanishangaa nikila sahani kumi
 
Msimshangae huyo Kuna mwamba Mbarali alikula Shina Moja la miwa peke yake akakutwa na mwenye shamba, mpaka mwenye shamba akatangaza kijijini kwamba heri nguruwe avamie shamba la miwa kuliko huyo mwamba.
 
Mkuu una hoja usikilizwe
Huyu hapa
IMG_20230310_162250.jpg
 
Back
Top Bottom