Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Nitolee chogo lako kama kichuguu cha MchwaHebu jiheshimuni nyie. Mbona mnakuwa mawaki nyie? Watu wazima nyie atii
Usipende kunifatilia,
Bichwa kama siafu.
Achana na hilo lisagaji la mbagala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia ina mambo hii jmn
Tunakwenda upside down
"Sarogeti fadha"
Ndiyo uwezo wake ulipofikiaHata kama hela n yake ndio eneji 5 π€£
Kazi kweli kweliNdiyo uwezo wake ulipofikia
π ni hatari isiyoumizaHapo ndo nilipostukaππ
Mmmh ndio Kula gani huko,sahani za wali 4 πππ, energy 5π²π²π², half cake,sijui na makorokoro gan huku....huyo aende hospital tu hio minyoo itakuwa vikongwe haswaaa,na Kula kote hajashiba ππππππ analalamika tu π€¦π€¦π€¦[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona ni kawaida hiyo mkuuu [emoji848][emoji848] kuna vidume vinakula ww acha kabisa
Walichokua wanakushangaa ni kunywa energy nne wakati kinywaji hicho kina kiwango chake maana siyo Cha kunywa tu kama maji, utakuja kufaWajinga kabisa!
Leo nawachana.
Weekend ya J2 ambayo ni jana nilikwenda restaurant karibu na pale TipTop night club. Huduma zenu ni nzuri ila wahudumu wenu wanaharibu.
Niliagiza energy zangu nne za Mo. Kwa kuwa hawawekagi muziki nilibeba radio yangu nikawa nasikiliza amapino,ni zile radio zenye bass.
Nikapiga chap energy nne kwa kuwa nilikuwa na kiu. Kukata jicho pembeni wananishangaa nikawatukana moyoni. Nilichukia sana
Hivi wahudumu wa Bongo mbona majinga hivi??!
Nikaagiza chakula na nikaagiza wali( sahani ni 2500) nikawaambia walete sahani nne separately, nikachanganya sahani mbili mbili na kuipiga misosi taratiiibu na energy nyingine niliyoagiza.
Nikaagiza energy moja na utumbo wa kuku nikawa nakula pamoja na half cake 5.
Chanji wamenisubirisha nusu saa nzima.
Kuja bill nikalipa safi tu nikatembea zangu kuelekea Lambo.
Na siyo kusema mimi ni mgeni pale ila ni ujinga ujinga wao tu. Kila nikienda si enjoy kula kwa raha.
Sirudi tena. Mtu unashindwa hata kula kwa raha bhana. Naona wanaleta mazoea
Next time nitawataja live msipojirekebisha. Kwanza chakula chenyewe mnapunja basi tu
Hela ni yangu na natafuta kwa shida! Hivyo kuweni wastaarabu kwenye starehe za watu.
4 kanywa mwanzo,akaagiza nyingine,1 tena kala na wali,afu nyingne kanywea mchemsho wa kuku na half cake,yaan kanywa energy 6.We jamaa wewe eti energy Nne unataka kuleta shida
Ina ujinga mwingi sana aisee!Ila hii nchi[emoji134][emoji134][emoji134]
Huyo ni msukuma siyo bure.π eneji 5
Wali sahani 4 plus half cake π
Inawezekana ππHuyo ni msukuma siyo bure.