Nyie wadada...

Nyie wadada...

Ndio maana mimi hupenda wadada wasiojiremba au kujipodoa. Huwa navutiwa na natural beauty ya mwanamke. Wanaojikoboa na kupata uzuri na maumbile ya bandia kwangu hawana nafasi.
 
Nyie madada mnaovaa mawigi yenu kichwani yanavyowatoa chicha mnaonekana ka kina Rihanna, Beyonce au yule mke wa Kanye West. Kiukweli yanawapendeza mnoooo wengi wenu ila chondechonde mnapoanza kuyavua ili tuanze kale kamchezo muwe mnatuandaa jamani.

Utakuta dada anavua wigi unakutana na kichwa kina chogo ka tarumbeta. Wengine mna nywele tu, wengine vichwa vina mabutu ka bibi wa Kisarawe, kuna wale nywele zinazoanzia utosini.

Muwe mnatuandaa jamani, mtakuja kuua bila kukusudia. chaaah!!

Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] chogo kama tarumbeta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️[emoji121]️
 
haya mupenzi majighu fumba macho now nina anza kuvua wigi langu usije ukapata mshtuko wa moyo maana nina chogo mfano wa madenge
 
Back
Top Bottom