Utasemaa....Yule yuleSijui mawigi sivai niulize rasta na natural hair....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimeshinda salama hofu kwako uliye mbali na macho yangu
Ha,haaa....Mwanaume ni mfuko wake tu..Kwa hyo ili muonekane mnang'a inawabidi mfiche vichwa au sio..
ndio [emoji28][emoji28]na makopa juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha barua za s/msingi
Mara oooh usiku silali nakuota, mara nikinywa maji nakuona kwenye glassndio [emoji28][emoji28]na makopa juu
Angalieni msifuge simba kwenye msitu wa kichwaππππππHa,haaa....
Siyo hvyo mkuu, ni kawaida yetu, tumezoea kujiongezea makorokoro