Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 May 30, 2013 #1 Jamani na nyie tenganeni mtuachie hata nafasi wengine...... 1. watu8 na measkron 2. sosoliso na baby Paloma 3. Judgement na YNNAH 4. Madame B na Arushaone, Chimbuvu, na wengine walio baki kama komando, na Ben Saanane hisani ya manoahAID ... Kamanda wenje alimaanisha urafiki na ccm na sio kama ule mlio ufikiria Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jamani na nyie tenganeni mtuachie hata nafasi wengine...... 1. watu8 na measkron 2. sosoliso na baby Paloma 3. Judgement na YNNAH 4. Madame B na Arushaone, Chimbuvu, na wengine walio baki kama komando, na Ben Saanane hisani ya manoahAID ... Kamanda wenje alimaanisha urafiki na ccm na sio kama ule mlio ufikiria
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 30, 2013 #2 Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa. Huo ndo usia wa Baba. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa. Huo ndo usia wa Baba.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 May 30, 2013 #3 Kwani nafsi yako inaona kiu sana??
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 May 30, 2013 #4 Bishanga said: Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa. Huo ndo usia wa Baba. Click to expand... mimisa??? Umekuwa mgeni humu jamvini? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga said: Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa. Huo ndo usia wa Baba. Click to expand... mimisa??? Umekuwa mgeni humu jamvini?
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 May 30, 2013 Thread starter #5 Baba yangu Bishanga nimekuelewa hii ninawasaidi akina Erickb52 na Lucas... ngoja nikamsaidie mama kazi Bishanga said: Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa. Huo ndo usia wa Baba. Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba yangu Bishanga nimekuelewa hii ninawasaidi akina Erickb52 na Lucas... ngoja nikamsaidie mama kazi Bishanga said: Mwanangu manoah hao uloowataja uwezo wa kuwakwea unao? Maji hayapandi mlima mwanangu,tulizana na size yako mimisa. Huo ndo usia wa Baba. Click to expand...
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 May 30, 2013 Thread starter #6 nimekumisss weeee...:A S kiss::A S kiss: Kipipi said: Kwani nafsi yako inaona kiu sana?? Click to expand...
nimekumisss weeee...:A S kiss::A S kiss: Kipipi said: Kwani nafsi yako inaona kiu sana?? Click to expand...
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 May 30, 2013 #7 mimi namsubiria Arabela atoe kauli ya mwisho maana yule zebedayo kumchuzi anajifanya utadhani amepewa haki ya maisha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mimi namsubiria Arabela atoe kauli ya mwisho maana yule zebedayo kumchuzi anajifanya utadhani amepewa haki ya maisha
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 30, 2013 #8 Kipipi said: mimisa??? Umekuwa mgeni humu jamvini? Click to expand... Kipipi hivi hujui mimisa na manoah wamefanya bcb? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kipipi said: mimisa??? Umekuwa mgeni humu jamvini? Click to expand... Kipipi hivi hujui mimisa na manoah wamefanya bcb?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 30, 2013 #9 manoah said: Baba yangu Bishanga nimekuelewa hii ninawasaidi akina Erickb52 na Lucas... ngoja nikamsaidie mama kazi Click to expand... bora The secretary mwanao huyo aja Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
manoah said: Baba yangu Bishanga nimekuelewa hii ninawasaidi akina Erickb52 na Lucas... ngoja nikamsaidie mama kazi Click to expand... bora The secretary mwanao huyo aja
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 30, 2013 #10 nitonye said: mimi namsubiria Arabela atoe kauli ya mwisho maana yule zebedayo kumchuzi anajifanya utadhani amepewa haki ya maisha Click to expand... nitonye Arabela utamweza shopping yake Dubai? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nitonye said: mimi namsubiria Arabela atoe kauli ya mwisho maana yule zebedayo kumchuzi anajifanya utadhani amepewa haki ya maisha Click to expand... nitonye Arabela utamweza shopping yake Dubai?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 30, 2013 #11 manoah said: Baba yangu Bishanga nimekuelewa hii ninawasaidi akina Erickb52 na Lucas... ngoja nikamsaidie mama kazi Click to expand... Unanisaidia kupunguza walioko au Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
manoah said: Baba yangu Bishanga nimekuelewa hii ninawasaidi akina Erickb52 na Lucas... ngoja nikamsaidie mama kazi Click to expand... Unanisaidia kupunguza walioko au
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 May 30, 2013 #12 Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hawezi kukitenganisha...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 30, 2013 #13 watu8 said: Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hawezi kukitenganisha... Click to expand... watu8 kwa hiyo unathibitisha manoah na mimisa hawawezi kutengana sio? Kopi aione Kipipi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: Alichokiunganisha Mungu, mwanadamu hawezi kukitenganisha... Click to expand... watu8 kwa hiyo unathibitisha manoah na mimisa hawawezi kutengana sio? Kopi aione Kipipi
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 May 30, 2013 #14 maskini weee manoah watilishaaaaaaa heee utajibeua mwaka huu................ Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 30, 2013 #15 Bishanga said: watu8 kwa hiyo unathibitisha manoah na mimisa hawawezi kutengana sio? Kopi aione Kipipi Click to expand... Kipipi ni nani wako? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga said: watu8 kwa hiyo unathibitisha manoah na mimisa hawawezi kutengana sio? Kopi aione Kipipi Click to expand... Kipipi ni nani wako?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 May 30, 2013 #16 Paloma said: maskini weee manoah watilishaaaaaaa heee utajibeua mwaka huu................ Click to expand... Karibu Attachments uploadfromtaptalk1369932391709.jpg 79.4 KB · Views: 68 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Paloma said: maskini weee manoah watilishaaaaaaa heee utajibeua mwaka huu................ Click to expand... Karibu
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 May 30, 2013 #17 Mi nawashangaa tu.
Paloma JF-Expert Member Joined Jan 22, 2008 Posts 5,331 Reaction score 4,956 May 30, 2013 #18 eeeh asante mwaya! ndo unajisosomola msosi wa mkeo yupi? Erickb52 said: Karibu Click to expand...
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 May 30, 2013 #19 Bishanga said: nitonye Arabela utamweza shopping yake Dubai? Click to expand... kitu kidogo sana kwangu bro Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga said: nitonye Arabela utamweza shopping yake Dubai? Click to expand... kitu kidogo sana kwangu bro
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 May 30, 2013 #20 Sina uhakika kama waliungana, na hata kama waliungana pia sina uhakika kama waliunganishwa na Mungu... Bishanga said: watu8 kwa hiyo unathibitisha manoah na mimisa hawawezi kutengana sio? Kopi aione Kipipi Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Sina uhakika kama waliungana, na hata kama waliungana pia sina uhakika kama waliunganishwa na Mungu... Bishanga said: watu8 kwa hiyo unathibitisha manoah na mimisa hawawezi kutengana sio? Kopi aione Kipipi Click to expand...