Nyie 'wala wake za watu'

Nyie 'wala wake za watu'

Tunzeni wake zenu vizuri , muwajali watulie ndani ! Mwanamke ndo anayeamua hatima yake aliwe au asiliwe.
Hakuna mwanaume anayelazimisha mahusiano na mke wa mtu ila mwanamke akishaanza kukosa baadhi ya vitu ndani , na hofu ya Mungu ikampungukia !!
Hata kisimame kifaru mbele yake ataliwa tu !!
Mwanaume yeye yupo kama mshawishi tu ila anayesaini makubaliano ni mwanamke.

So sad na demand zao huwa haziishi ! Kila siku ni mpya ! We angalia main deal nazo akitaka atatulia , kama hajataka hata umpe roho 😂😂😂
 
Attachments

  • IMG-20221115-WA0476.jpg
    IMG-20221115-WA0476.jpg
    29.1 KB · Views: 21
Wake za watu wanaliwa kwa sababu nyingi na nyingi wanaume ndio huzisababisha.

Kwa mfano, kunyimwa ngono kutokana na ulevi uliokithiri. Unakuta mtu anapenda pombe kuliko kitu chochote, hapo lazima tukusaidie. Kuna bwege mmoja nilikua nakula mke wake yeye alikua anatamka kabisa bora kuacha mke ila sio kuacha pombe. Mke akajiongeza akawa ananipa muda wote hadi nikampa mimba na jamaa ananilelea mtoto.

Wanawake ni viumbe wavumilivu sana, ikifikia hatua ameamua kugawa uchi ujue kavumilia sana. Kesi nyingi za wake za watu kuliwa hua zinasababishwa na wanaume.

Kuna mwingine nilikua nakula mke wake kwa sababu alikua hamhudumii chochote mke wake, hajali chochote basi nikawa najipigia navyojisikia. Jamaa hata kumla mke wake alikua anamaliza hata miezi 6 na akisafiri ndio hapigi simu wala meseji.

Wanaume tujirekebishe kwanza kabla ya kulalamika wanawake ama watu wanaowakula. Yule ni mtu mzima hajabakwa hivyo akiliwa katoa ridhaa mwenyewe, usitafte ubaya kwa mwanaume mwingine anza na mkeo.
 
Kiukweli wanaume tubadilike. Tupunguze hizi tabia za kudate na wake watu ingawa nilichojifunza wanawake wengi wanaochapwa nje ya ndoa ni wale wanaolipa visasi baada ya kugundua mme wake ana mchepuko hili linaongoza, Pili kuna wale ambao wanatafuta mahitaji kutokana na waume zao kuwa na hali duni ya kiuchumi, Tatu kuna wale ambao wana hulka ya Umalaya na mme wake alimuoa akiwa na tabia hizo huenda alimkuta Club, danguro nk, Nne kuna wale ambao waume zao wameshindwa kuwatimizia haja zao za kihisia yaaani hawapelekewi moto ipasavyo kwahiyo huko nje wanatafuta faraja ya ngono hapa huenda mme ni mgonjwa, hana hisia za ngono, amesusia mke wake kwa ugomvi, Mume yuko mbali kikazi na mke wake. Kundi hili la nne mara nyingi huacha tabia hiyo mara tu mme wake anapoanza kutoa huduma stahiki na mara nyingi wanajiita MBA yaani married but available.
Anyway mke wa ntu ni sumu.
 
Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.

Kwanza hamna hata huruma?

Sometime wanaume tunaangushana
Wewe jiandae kufa kama Dr. Tshube, hivi mwanaume unawezaje kuishi mama ndo ametoka leba miezi yote hiyo? Mwanamke yuko kwenye siku zake mda huo unasubiri tu dah!!
 
Mnawezaje aisee mimi huo ujasiri sina. Nisivyopenda kugongewa na mimi sipendi kumfanyia mwenzangu huo unyama.

Kwanza hamna hata huruma?

Sometime wanaume tunaangushana

Wake zenu huwa wanakubali wenyewe wapelekewe moto...

Inaonesha kuwa huwa hamuwakazi kiasi cha kutosha
 
Tunzeni wake zenu vizuri , muwajali watulie ndani ! Mwanamke ndo anayeamua hatima yake aliwe au asiliwe.
Hakuna mwanaume anayelazimisha mahusiano na mke wa mtu ila mwanamke akishaanza kukosa baadhi ya vitu ndani , na hofu ya Mungu ikampungukia !!
Hata kisimame kifaru mbele yake ataliwa tu !!
Mwanaume yeye yupo kama mshawishi tu ila anayesaini makubaliano ni mwanamke.

So sad na demand zao huwa haziishi ! Kila siku ni mpya ! We angalia main deal nazo akitaka atatulia , kama hajataka hata umpe roho 😂😂😂
Sahihi
 
Ahsante kwa kusindikizia na kapicha😂
 
Hakuna mke wa mtu analiwa bila sababu never lazima kuwe na sababu kwani yeye ni mbaka analiwa nichiz au hana akili timamu au amelazimishwa au ameliwa kwa kubakwa si anaakili timamu na anajua anamume na bado anakwenda kutanua mapaja yake mwenyew analiwa tena huku akigugumia miguno kwa utamu anaousikiwa akiliwa ifike mahali sio tu mnamlaumu mtu kumla mke wa mtu muwe mnaangalia na sababu iliyo mfanya huyo mke akaliwa nje kama mkeo ni malaya Kwanini asiliwe kama humgongi ipasavyo mbaka akaridhika yeye ni nani asiende njee kwa wahuni wakamle kama ndo hulkayake Kwanini asiliwe lazima kuwe kuna sababu tu kumbafu kabsa
 
Siku hizi,kuna mke wa kutulia? Wenyewe ndo wanafataga hiyo mipini. Sasa jamani,kaja kaa mbele zako,mapaja wazi,kichupi kile pale,wakati mwingine hajakivaa,utafanyaje? Af sasa,kama mwanamke anakubali kugongwa huku anajua ameolewa,unadhani kapitiwa? Hapana,hiyo ndo itakuwa tabia yake. Kwa hiyo hata usipogongewa na wanaume wenzio(naongelea waliopo kwenye hilo janga mnaloliita ndoa),vijana watamshughulikia tu. Kikupwa tafuta nguvu ya kukubaliana na hiyo hali,kwamba ukijua umegongewa,samehe yapite au na wewe kagonge kwingine. Full stop. Vinginecyo utakufa kwa presha
 
Back
Top Bottom