Nyie Wamakonde Vipi?

Nyie Wamakonde Vipi?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Huku umakondeni bana unaweza kuvunjika mbavu, kila mmoja anaongea kama nchekeshaji. Na mnavopenda kula nyie hata safari ya Buguruni Kkoo mnabeba wali kwenye rambo.....hahahaaaa. Hakyanani Ntwara vituko. Nani yuko huku umakondeni tusocialize sku mbili hizi wakuu? Ladies please, kampani za wanaume tupu hazinogi!
 
Nangu mandyoka bwana wewe maaaa! [emoji23][emoji23]
 
Acha tabia za kindengereko wewe..!!?
 
Kingine nilichogundua uwongo kwao kawaida tu, yaan akikwambia atadanyia kazi jambo flani na asilifanyie pasipo sababu za msingi ukimhoji ye anachekelea tu. Wasiosima au kujichanfanya ndiyo wana ukabila, nadhan wanajihisi inferior. I like them though. Wadada bado sijawaoneni
 
Back
Top Bottom