Nyie Wamakonde Vipi?

Nyie Wamakonde Vipi?

Huku umakondeni bana unaweza kuvunjika mbavu, kila mmoja anaongea kama nchekeshaji. Na mnavopenda kula nyie hata safari ya Buguruni Kkoo mnabeba wali kwenye rambo.....hahahaaaa. Hakyanani Ntwara vituko. Nani yuko huku umakondeni tusocialize sku mbili hizi wakuu? Ladies please, kampani za wanaume tupu hazinogi!
Disco Ntwara bwana ''ndani ntiti nje ntiti!
 
hawo watu nikiongea nao nachekaga tu lafudhi yao [emoji23][emoji28][emoji23] hahaha
 
Back
Top Bottom