Nyie wamama mnaotafuta wababa, hivi digrii ya nini kwenye mahusiano?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Maana kila anayetafuta kigezo kikubwa digrii

Sasa unajiuliza digrii ya nini hapo kwenye ndoa?

Halafu mtu tayali jua limezama (umri umeenda) unaweka vigezo viingiii vya nini?

Wewe mwenyewe vigezo vya kuolewa vimeshapungua...halafu unataka vigezo ambayo baba hana..

Msitufanyie hivyo..

Hili limeniumiza sana.
 
Wewe huaelewi tu sio degree kwa sababu ya elimu ni degree ya wakika wa kipato na maisha tu.
 
Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.

Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa

Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.

Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.

Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.

Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
 
Degree Ina mchango gan Kwa watoto?.

Yaan asiyena degree hawez wafanya watoto wake wapate Degree?.
 
Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.

Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa

Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.

Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.

Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.

Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
Muongo mwanamke ni mbinafsi kuliko mwanaime mengi anaangalia faida zake binafsi sio watoto au badaye, ukifilisika anakkmbia bila hata kuangalia hao watoto watabaki na nani.
 
Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.

Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa

Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.

Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.

Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.

Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
🤝 Ahsante.
 
Una akili sana
 
Mambo yao waachie wenyewe...
Ila hata ukiwa na cheti cha la saba wanachukulika...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom