Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwanini Ndoa nyingi Sasa zinazovunjika ndo hizi hizi za Degree holders ?.Uelewa wa maisha
Education is quiet different from Intelligence.
Maisha ya mwanadamu Kwa aina zote yawe ya Ndoa, Mahusiano, Uchumi ,Kijamii n.k yanahitaji zaidi Intelligence sio Education Kwa sababu Elimu aipatayi MTU humpa UKOMO.
Namna gani unaface Maisha ndio intelligence yenyewe.
Omba sana upate Mwanaume anayetambua Nafasi yake kwako kama Mume na Baba .