Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Wewe huaelewi tu sio degree kwa sababu ya elimu ni degree ya wakika wa kipato na maisha tu.Maana kila anayetafuta kigezo kikubwa digrii
Sasa unajiuliza digrii ya nini hapo kwenye ndoa?
Halafu mtu tayali jua limezama (umri umeenda) unaweka vigezo viingiii vya nini?
Wewe mwenyewe vigezo vya kuolewa vimeshapungua...halafu unataka vigezo ambayo baba hana..
Msitufanyie hivyo..
Hili limeniumiza sana.
Wewe uwaelewe tu sio degree kwa sababu ya elimu ni degree ya wakika wa kipato na maisha tu.
Hata nikiwa 40 demu wa miaka 35 kwangu ni mzee hapo ongeza 20yrs ya ndoa anakua na miaka 55, huyu ni bibi tayari.Unakuta anamiaka 33, alafu tangazo lake anatafuta wa miaka 38++
Yaan mwanaume wa miaka 38, awe yuko singo anasubiria maana JF.[emoji1787]
Huu ni uwendawazimu 🙌Unakuta anamiaka 33, alafu tangazo lake anatafuta wa miaka 38++
Yaan mwanaume wa miaka 38, awe yuko singo anasubiria maana JF.🤣
Wanakuwa ma single maza, wañatafuta ma single faza.Unakuta anamiaka 33, alafu tangazo lake anatafuta wa miaka 38++
Yaan mwanaume wa miaka 38, awe yuko singo anasubiria maana JF.🤣
Degree Ina mchango gan Kwa watoto?.Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.
Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa
Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.
Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.
Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.
Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
Sina maana hiyo kiongoziDegree Ina mchango gan Kwa watoto?.
Yaan asiyena degree hawez wafanya watoto wake wapate Degree?.
Muongo mwanamke ni mbinafsi kuliko mwanaime mengi anaangalia faida zake binafsi sio watoto au badaye, ukifilisika anakkmbia bila hata kuangalia hao watoto watabaki na nani.Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.
Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa
Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.
Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.
Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.
Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
🤝 Ahsante.Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.
Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa
Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.
Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.
Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.
Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
Kuna talaka sana sikuhiziUnakuta anamiaka 33, alafu tangazo lake anatafuta wa miaka 38++
Yaan mwanaume wa miaka 38, awe yuko singo anasubiria mke JF.🤣
Uelewa wa maishaDegree Ina mchango gan Kwa watoto?.
Yaan asiyena degree hawez wafanya watoto wake wapate Degree?.
Una akili sanaWanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.
Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa
Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.
Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.
Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.
Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.
Unafikiri Mtalaka anaweza kua fursa kwako?.Kuna talaka sana sikuhizi
Hiyo ni fursa