Wanawake ni viumbe vya hesabu la mbali sana hasa linapokuja swala la mwenza na mtu wakuzaa naye.
Hiyo digrii sio kwa faida yake yeye bali hao watoto mtakaozaa
Sisi tunaangalia misambwanda tunaacha kuangalia vitu vitakavyowafaidisha watoto tutakaozaa.
Mwanamke atasema anataka mwanaume mrefu, ukimuuliza vizuri utagundua anataka mwanaume mrefu ili asizae watoto wafupi.
Mwanaume akisema anataka mwanamke mwenye msambwanda, huo ni kwaajili ya burudani zake mwenyewe.
Vigezo vingi wanavyoweka wanawake ni kwaajili ya watoto wao, ila sisi wanaume vigezo vingi tunavyoweka ni kwaajili yetu binafsi.