Nyie wanachama wa CHADEMA kama kweli mpo timamu watimueni top layer wote wa chama ni wezi na matapeli

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.

Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi

Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang

Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!

Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
 
Huu mda kwanini usiwekeze kuangazia ufisadi unao fanywa na chama Cha Mafisadi (CCM)? CHADEMA Inakuuma nini? Sisi ndiyo tunao changa hata zikipigwa no problem
 

Yah right. Vyema ungeanza na wanaokula kodi kwa urefu wa kamba zao.
 
Imagine mpaka Leo Heche yupo ofisini huu si unyumbu kabisa huu
 
Headless chicken
 
Sisi wanachama tunakubali hatupo timamu, una ushauri mwingine??
 
Huo ushahidi wako uko wapi? Kwani sifuraha kwenu chadema ife?

Wabadhirifu wa mali za umma wamewajibishwa wangapi?
 
Kamtimue mamako na wanaokupiga miti lumumba
 
Mama Abdul mnamtimua lini baada ya kuua maelfu ya vijana wasio na hatia Oct 29?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…