Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Ukitoa toa na usahau
Ushauri kutoka kwa chawa wa UVCCM anayepambana kila siku tooth and nail ili CHADEMA ife, hii inamaanisha kinyume cha anavyoshauri ndiyo survival na ushindi kwa CHADEMA.Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Hizi ni kodi zetu zinapigwa kwa mabilioni, si michango ya kujitolea kwa hiyari lakini Samia na genge lake wanazitafuna bila ya aibu.
Huwezi hapo kuwasikia chawa wakipanua midomo kuzungumzia huu ufisadi.Hizi ni kodi zetu zinapigwa kwa mabilioni, si michango ya kujitolea kwa hiyari lakini Samia na genge lake wanazitafuna bila ya aibu.
Fedha za chadema sio kodi,wacha wale mpaka wazitapike,nyinyi elezeni taarifa za CAG kwa nini mnaiba kodiMnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Dokta Malisa alitimuliwa CCM alivyohoji kwann Kamat Kuu ilimpitisha Samia kugombea Uraisi wakat Mkutano ule haukuwa kwa Lengo lile.Mnatumua wanaohoji
"Peleka ushahidi kwa ofisi ya katibu mkuu kuhusu hizo tuhuma ili hatua zichukuliwe" - Brenda RupiaMnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Hakika watafanya hivyo baada ya CCM kutimua top layers zake ambao tofauti na top layer ya Chadema ambao unadai wanawaibia wanachama,wa CCM wameifisi nchi kwa zaidi ya miaka 60Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Onyesha ushahidi....Heche siyo mhasibu wa chama. Mwangalieni kwanza huyo kipipa, manyonyo wenu anayeiba kwa kwenda mbele, CCM na serikali yake haijawahi kupata hati safi. ......Mmejaa rushwa tu mafisi nyie, wauaji, wabakaji, walawiti na watesaji. Mmehangaika wee hadi kupeleka wakatoliki mchongo (Wanajiita warumi) mmeshindwa, sasa hapa mmekutana na kigingi. Heche, Lissu na Mnyika hao siyo Mbowe na mwenzake yule aliyehamia CCM, msimfananishe Wenje na hao watu imara. MMEPOTEA, jaribuni kwingine.Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Hao uliowataja ni watu sahihi kwa CDM ya sasa, pia hao ndio chukizo na mwiba mchungu kwa CCM 📌 Ikitokea wamekula pesa za michango kama wananchi tumeridhia kbs 📌Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding othersMnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Hizi taarifa hazitakiwi kuwafikia PCCB? au zinatakiwa kuishia kwenye socia media pekee?Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa.
Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi
Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang
Lissu alichangisha watu Hela kwa lengo la kununua gari mpya cha ajabu Hela zilishangishwa na gari halikununuliwa zilipigwa!
Wameshindwa kutoa mapato na matumizi ya donation walizowatapeli watu
Pccb zishawafikia ndugu mpumbavuHizi taarifa hazitakiwi kuwafikia PCCB? au zinatakiwa kuishia kwenye socia media pekee?
Inaonekana upumbavu imekujaa sana.