Nyie wanachama wa CHADEMA kama kweli mpo timamu watimueni top layer wote wa chama ni wezi na matapeli

Ushauri kutoka kwa chawa wa UVCCM anayepambana kila siku tooth and nail ili CHADEMA ife, hii inamaanisha kinyume cha anavyoshauri ndiyo survival na ushindi kwa CHADEMA.
 
Fedha za chadema sio kodi,wacha wale mpaka wazitapike,nyinyi elezeni taarifa za CAG kwa nini mnaiba kodi
 
Mnatumua wanaohoji
Dokta Malisa alitimuliwa CCM alivyohoji kwann Kamat Kuu ilimpitisha Samia kugombea Uraisi wakat Mkutano ule haukuwa kwa Lengo lile.

Utaratibu ni kuwa anayetaka kuomba Ridhaa kugombea Uraisi kupitia CCM inabid kwanza ajazw form na arudishe Ofisin.
ila Samia hakujaza na wala hakuomba ila mlimpitisha.

Sasa Dokta Malisa kuhoji hayo. Akatimuliwa Uanachama wa CCM
 
"Peleka ushahidi kwa ofisi ya katibu mkuu kuhusu hizo tuhuma ili hatua zichukuliwe" - Brenda Rupia
 
 
Mtatumia gharama nyingi sana kuichafua CHADEMA lakini hamtafanikiwa,
Shida ya CCM wanadhani bado tupo zama mawe😂😂,
Hata propaganda wanazo kuja nazo hazina kichwa wala miguu
 
Hakika watafanya hivyo baada ya CCM kutimua top layers zake ambao tofauti na top layer ya Chadema ambao unadai wanawaibia wanachama,wa CCM wameifisi nchi kwa zaidi ya miaka 60
 
Onyesha ushahidi....Heche siyo mhasibu wa chama. Mwangalieni kwanza huyo kipipa, manyonyo wenu anayeiba kwa kwenda mbele, CCM na serikali yake haijawahi kupata hati safi. ......Mmejaa rushwa tu mafisi nyie, wauaji, wabakaji, walawiti na watesaji. Mmehangaika wee hadi kupeleka wakatoliki mchongo (Wanajiita warumi) mmeshindwa, sasa hapa mmekutana na kigingi. Heche, Lissu na Mnyika hao siyo Mbowe na mwenzake yule aliyehamia CCM, msimfananishe Wenje na hao watu imara. MMEPOTEA, jaribuni kwingine.
 
Hao uliowataja ni watu sahihi kwa CDM ya sasa, pia hao ndio chukizo na mwiba mchungu kwa CCM 📌 Ikitokea wamekula pesa za michango kama wananchi tumeridhia kbs 📌
 
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding others




"Watu wenye mawazo finyu (au wasio na mtazamo mpana) hutambulika kwa ugumu wa kiakili (kutobadilika mawazo), ukosefu wa huruma, na kutokuwa tayari kuzingatia mitazamo mipya. Kulingana na makubaliano ya wataalamu wa saikolojia, mara nyingi hutegemea dhana potofu, huonyesha fikra za kubahatisha au za kupindukia (kama vile kuamini jambo ni zuri kabisa au baya kabisa pasipo na wastani), na kutanguliza maslahi ya kibinafsi au kiburi chao badala ya kujaribu kuwaelewa
 
Hizi taarifa hazitakiwi kuwafikia PCCB? au zinatakiwa kuishia kwenye socia media pekee?
Inaonekana upumbavu imekujaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…