jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Ni noma ,sasa mbaya zaidi ukutane na demu kaumbika vilivyo alafu anakufanyia hivi visa lazma umgande na akuchune tuWanatia manjonjo ili kuvutia mteja.Kuna mmoja tulikutanisha macho akanitizama kama amekula kungu yani hawa viumbe[emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ahsante sanaPole sana...
Kwanini mnafanya hivi sasa[emoji28] [emoji28] [emoji28] na bado
Inaitwa "tumia ulicho nacho kupata utakacho"Kwanini mnafanya hivi sasa
Aisee na mnatumia ipasavyo fursaInaitwa "tumia ulicho nacho kupata utakacho"
For funny? unajua huwa tunachanganyakiwa kweli....Inaitwa "tumia ulicho nacho kupata utakacho"
Btw me nawafanyiaga marafiki zangu wa kiume tu....for fun...ila kwa strangers no...
nakuangalia alafu sioni chochote,kunja nne bhas[emoji28] [emoji28] [emoji28] na bado
Poleni...chunga tamaa mbayaFor funny? unajua huwa tunachanganyakiwa kweli....
Sasa utaonaje upo kwako[emoji201] [emoji201] [emoji201]nakuangalia alafu sioni chochote,kunja nne bhas
nitaona tuuuuuuuuuSasa utaonaje upo kwako[emoji201] [emoji201] [emoji201]
Huwaa unatuumizaa usione tunachekachekaaInaitwa "tumia ulicho nacho kupata utakacho"
Btw me nawafanyiaga marafiki zangu wa kiume tu....for fun...ila kwa strangers no...
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Huwaa unatuumizaa usione tunachekachekaa