jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Yaani ukigundua nakuangalia tu unaanza kufanya makusudi kubana sauti ukiwa unaongea na wenzako,,
Kingine ukigundua macho yangu yanaangalia sehemu ya chini ya mwili wako unakunja nne na magawuni yenu yenye mpasuo mkubwa .
Hi ndio kiboko zaidi ukijua nakutazama kwenye chura utamtikisa hadi mapigo ya dushee yatakua juu.
Kwanini lakini?