britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Bora angekwambia wewe si Mjeda wangu wa chumbani, tusheherekee wapi unifanyie usafi maana kama ukuta ushauruka tangu jana, haa haaMara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.
Kwakweli huyu sijui utamfanya nini.
HeheheUsipotuma 50,000,ya Birthday Keki moja ya Kujipaka usoni na Ma Shost Moja ya Kula anakwambia muachane wakat juz umempa 30,0000 Date type yako mwanamke anaejitambua haendekezi starehe Outing tutaenda but sio daily
Yaan shidando wanawake wa siku hizi hasa kama umemzoesha out out kwa sana au lah
Daaaaah sikukuu ya leo ww unge sevu namba 071.....Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.
Kwakweli huyu sijui utamfanya nini.
Hehehe yaan kashajiweka sawa yanDaaaaah sikukuu ya leo ww unge sevu namba 071.....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] angekoma hyo out asinge omba tena
akisema tuachane mbona jibu simple tu "POA"Usipotuma 50,000,ya Birthday Keki moja ya Kujipaka usoni na Ma Shost Moja ya Kula anakwambia muachane wakat juz umempa 30,0000 Date type yako mwanamke anaejitambua haendekezi starehe Outing tutaenda but sio daily
Ndo mimeshangaahuyo baby wako hata katika kundi la waliofeli la saba ye hayumo............!!
Vijana hawaachani simple kihivyoakisema tuachane mbona jibu simple tu "POA"
Sana Tu usawa wenyewe huu utashangaa siku ya birthday yako hata kukununulia shati ya 20,000 hawez anaishia kukuweka DP whatsapp aisee ni wachache sana wanaojitambuaakisema tuachane mbona jibu simple tu "POA"
Mademu wa siku hizi umshikishe fyekeo??Bora angekwambia wewe si Mjeda wangu wa chumbani, tusheherekee wapi unifanyie usafi maana kama ukuta ushauruka tangu jana, haa haa
Umesema kweli yaan birthday ni yako alafu bado anakuomba zawadi badala akupe yeyeSana Tu usawa wenyewe huu utashangaa siku ya birthday yako hata kukununulia shati ya 20,000 hawez anaishia kukuweka DP whatsapp aisee ni wachache sana wanaojitambua