Nyie wanawake siyo kila siku ni ya kusherehekea, nyingine ni matukio tu

Nyie wanawake siyo kila siku ni ya kusherehekea, nyingine ni matukio tu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.
UNAZEEKA VIBAYA BABY JAMAN KWAHIYO HUJUI LEO SIKUKUU

Kwakweli huyu sijui utamfanya nini
 
Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.

Kwakweli huyu sijui utamfanya nini.
Bora angekwambia wewe si Mjeda wangu wa chumbani, tusheherekee wapi unifanyie usafi maana kama ukuta ushauruka tangu jana, haa haa
 
Usipotuma 50,000,ya Birthday Keki moja ya Kujipaka usoni na Ma Shost Moja ya Kula anakwambia muachane wakat juz umempa 30,0000 Date type yako mwanamke anaejitambua haendekezi starehe Outing tutaenda but sio daily
 
Hehehe
 
Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.

Kwakweli huyu sijui utamfanya nini.
Daaaaah sikukuu ya leo ww unge sevu namba 071.....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] angekoma hyo out asinge omba tena
 
Sasa tatizo nn kumtoa out mtu unayempenda kwenda coco beach pale sh ngp utaspend mpaka uchanganyikiwe tatizo lenu mnafkil kumtoa mtu out mpaka utumie million
 
Sana Tu usawa wenyewe huu utashangaa siku ya birthday yako hata kukununulia shati ya 20,000 hawez anaishia kukuweka DP whatsapp aisee ni wachache sana wanaojitambua
Umesema kweli yaan birthday ni yako alafu bado anakuomba zawadi badala akupe yeye
 
Back
Top Bottom