britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #21
Kumtoa siyo ishu ila hata siku ya eclipse?Sasa tatizo nn kumtoa out mtu unayempenda kwenda coco beach pale sh ngp utaspend mpaka uchanganyikiwe tatizo lenu mnafkil kumtoa mtu out mpaka utumie million
HeheheheWasiovutia wapo normal ila wale wenye mvuto ni shida ukimgusa kidogo anakurupuka kama nyumbu wakati busu lake hulijui, wakati angetumia love mizinga technique hata gari angeendesha
Ndo hivo ni tatizo LA kuoa std four leavermwambie utamtoa out sikukuu ya pili
Hehehehe nimecheka kwa sauti mpaka watu wakanishangaaMademu wa Tandale kwa mtogole hao....birthday ya jirani yao anataka umtoe out yeye..
kwa huyu mwenye akili za hivi ni kuachana tuVijana hawaachani simple kihivyo
He he siku ya eclipsekwa huyu mwenye akili za hivi ni kuachana tu
Wakubwa wanazinguaMkome Ku date watoto..
Wakubwa wameshszalishwa anakupa majukumMkome Ku date watoto..
Ha ha haMademu wa Tandale kwa mtogole hao....birthday ya jirani yao anataka umtoe out yeye..
hahaha!kumbe nikukwepa majukumu ,Wakubwa wameshszalishwa anakupa majukum
Nyie wamama mnapenda kutupa majukumkoma were so unapenda vitoto vinawaza ice creem?
Hawafai hawa wakubwahahaha!kumbe nikukwepa majukumu ,
Heheheeti kupatwa kwa jua sikukuu,,,,,,hhahahahaaa,,,, kampate then mkaze kabisa....hahahahahaa
HeheHa ha ha Videmu aina hiyo ni nuksi kweli,eti sikukuu[emoji23] [emoji23] si aseme tu kama na Yy ataka kupatwa