Nyie wanawake siyo kila siku ni ya kusherehekea, nyingine ni matukio tu

Nyie wanawake siyo kila siku ni ya kusherehekea, nyingine ni matukio tu

Sasa tatizo nn kumtoa out mtu unayempenda kwenda coco beach pale sh ngp utaspend mpaka uchanganyikiwe tatizo lenu mnafkil kumtoa mtu out mpaka utumie million
Kumtoa siyo ishu ila hata siku ya eclipse?
 
Wasiovutia wapo normal ila wale wenye mvuto ni shida ukimgusa kidogo anakurupuka kama nyumbu wakati busu lake hulijui, wakati angetumia love mizinga technique hata gari angeendesha
Hehehehe
 
eti kupatwa kwa jua sikukuu,,,,,,hhahahahaaa,,,, kampate then mkaze kabisa....hahahahahaa
 
Ha ha ha Videmu aina hiyo ni nuksi kweli,eti sikukuu[emoji23] [emoji23] si aseme tu kama na Yy ataka kupatwa
 
Back
Top Bottom