Nyie wanawake siyo kila siku ni ya kusherehekea, nyingine ni matukio tu

Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.
UNAZEEKA VIBAYA BABY JAMAN KWAHIYO HUJUI LEO SIKUKUU

Kwakweli huyu sijui utamfanya nini
Mkuu ina maana outing mpaka sikukuu tu ?, na wewe inabidi ubadirike.
 
Sana Tu usawa wenyewe huu utashangaa siku ya birthday yako hata kukununulia shati ya 20,000 hawez anaishia kukuweka DP whatsapp aisee ni wachache sana wanaojitambua
Hapa umelonga,kidume unajipinda kila mkikutana na ki-bag kuna viatu ,lingeries na sijui nn.yeye hata saa ya kandambili za chooni hawezi kukunulia.
Pumbaaavuu.kweli huku ni kupatwa kwa wanaume
 
Hapa umelonga,kidume unajipinda kila mkikutana na ki-bag kuna viatu ,lingeries na sijui nn.yeye hata saa ya kandambili za chooni hawezi kukunulia.
Pumbaaavuu.kweli huku ni kupatwa kwa wanaume
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…