opencheque
Member
- Aug 10, 2016
- 88
- 39
Mkuu ina maana outing mpaka sikukuu tu ?, na wewe inabidi ubadirike.Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.
UNAZEEKA VIBAYA BABY JAMAN KWAHIYO HUJUI LEO SIKUKUU
Kwakweli huyu sijui utamfanya nini