Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Yaani just imagine mie darasa la saba B nasumbuliwa na hii mijitu inayojiita wasomi kila kila leo wakinipiga mizinga ya pesa mara Shangazi amemeza kiti,mara mke wangu anataka Dela aisee chefuu inakera sana! Sasa nasema hivi nyie wasomi acheni kunisumbua dadeki nyie si mnahisi kusoma ni mafanikio? Idiot
Yaani kutwa kunisumbua kwenye email yangu mnaomba msaada wa kipesa na mkome eti mara proposal za research zenu hizo! Ulofa na ujinga halafu hamna hela au mia mbovu.
Binafsi mie sie msomi mimi kwenda London ni kama vile naenda Ilala tu Sasa utamkuta msomi hata nauli ya kwenda nanjilinji au huko kwenu maganzo mnakopa tu kwenye mabenki nyie wasomi mkae mtafakari msipoangalia utagongewa wake zenu! Ulofa huo