Nyie wasomi wa JF, ina maana Text books zitatoweka with the advent of AI and use technology in teaching

Nyie wasomi wa JF, ina maana Text books zitatoweka with the advent of AI and use technology in teaching

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains.
Sasa kwenye teaching in classrooms itakuwa sahihi kutumia njia za "mkato".....AI, and other techs ..etc etc etc to impart knowledge to students
 
Yes inategemeana na effect yake! Kama itakuwa nzuri na kusaidia kwa haraka wanafunzi, au italeta madhara zaidi...
 
Back
Top Bottom