Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains.
Sasa kwenye teaching in classrooms itakuwa sahihi kutumia njia za "mkato".....AI, and other techs ..etc etc etc to impart knowledge to students