Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mtu anakuja na list ya maeneo yote ambayo ameyasikia sikia. Ameandika anataka akifika ukamtembeze list yake unakuta
1. Beach Kidimbwi
2. The Great
3. Daraja la Ubungo
4. Daraja la Kigamboni
5. Daraja la Manzese
6. Daraja la Coco/Tanzanite
7. Beaches zote za Kigamboni
Etc. Halafu shida akienda huko akamwona msanii basi inakuwa nongwa utasikia.
"Heeeeeh mzee mwogo mchungu ndo huyu kumbee...twende nikamsalimie"
"Ooohh.. mwone fid q, mwone.... Anakuja huku"
" Heeeeh huyu ndo Makala....namwona sana kwenye TV atakubali nikimwomba kupiga naye picha?"
Mna bore sana. Mnataka mkatembezwe Madale, Kigamboni na mnataka Bar zote za Tabata, Sinza, Kijitonyama mpelekwe.
Sisi tupo busy bwana huo muda tunatoa wapi? Tunasaka Ndalama tu. Na kuspend ni weekend tena kwa mipango. Siyo mnataka kutuganda tuwatembeze muwe mnapiga picha kila sehemu. Huo udwanzi hatutaki kaeni kwenu nasi tutakaa kwetu.
Tukija Mikoani ni ninyi mnapenda kututembeza kutuonesha kwa mademu zenu na washkaji wenu mpaka sometimes tunachoka utambulisho wenu wa kifala
" Huyu jamaa yangu sana anaitwa Big Man anaishi Madale na Daimondi"
" Huyu ndo mchizi wangu nlikwambia ana mkula Uwoya na ameshapita kwa wema na kajala.... Anawatafuna sana mjini huko"
Sasa hapo mimi nisemeje? Kila mtu akae kwake kama vipi. Siyo mnakuja kulalamika eti mkija tunawakwepa. Ndiyo mna bore sana na swaga zenu za bush za kujiita majina ya kipuuzi mara Ommy D. Mara Check Nigger.. huo ujinga mi sitaki.