Nyie wenye point 0.5 CAF acheni kuhonga waamuzi na wapinzani ili muone matunda ya usajili

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii timu ni ya majungu, umbea na propaganda nyingi. Huwezi kushinda mechi za kimataifa kisa wachambuzi wamekusifu.

Huwezi shinda kwa sababu haya ni mashindano ya kweli, achana na hapa ndani mmebakiza kuhonga waamuzi, na kununua wachambuzi ili wawasifie kama vile kweli mko vizuri.

Siyo vibaya mkijifunza kwa jirani.
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…