Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]sawa maa ila sio mzembe
[emoji23][emoji23]sawa maa ila sio mzembe
kwani usipoacha kuna tatizo gani na ukiacha kuna faida gani?Tatizo chenga nyingi.ukiona goli usichenge piga ma shoot waya..shauri yako chelewa chelewa utakuja kuta hata bahati mbaya hujaacha ka kid Cha kuzugia
Hakuna tatizo kweli maana Hata yesu hakuacha mtoto na mbona fresh tu.kwani usipoacha kuna tatizo gani na ukiacha kuna faida gani?
na bado anaishi kwa baba ake mpaka leo ana miaka elfu 2Hakuna tatizo kweli maana Hata yesu hakuacha mtoto na mbona fresh tu.
Wanatunzwa na YEHOVA baba Mungu..ameshawahakikishia mahitaji Yao toka kuundwa kwa misingi ya ulimwenguni huu.ameni.
Wengine wanatunzwa na Bibi zao
[emoji13][emoji13][emoji13]Watatu, wawili ni twins na mmoja ni single.
Angel na hawa mapacha ni Preston and Peyton.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mkuu VIP unalipia matangazo ya biashara yako?Kumbe wengine humu mnajuana. Aisee
[ Gusa link ya blue hapo chini Jionee kituo cha mabasi ya mwendokasi cha mbagala kitakavyokuwa, usisahau kusubcribe ...
[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye masuala mengine yupo vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]Namjua yule, kula tu mzembe masuala mengine si ndio kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji468][emoji468]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] nitafanya uchunguzi, usiniulize nitafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye masuala mengine yupo vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimepata wasiwasi na uchunguzi wako[emoji23][emoji23][emoji23] nitafanya uchunguzi, usiniulize nitafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] usihofu wifii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimepata wasiwasi na uchunguzi wako
Lazima nihofie jamani wii labda uniambie utakavyofanya huo uchunguzi wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470]
Lazima nihofie jamani wii labda uniambie utakavyofanya huo uchunguzi wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji470][emoji470][emoji470][emoji470]