Mweeh[emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nizungumze na babe kwanza kuhusu hili
Sawa mama ngoja tukafanye na hiki kibaridi[emoji23][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnawatunzaaaa?
Ama mnatujia hapa vifua mbele kujisifia mna watoto?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa. Si kazi waanze kutuhadisia walivyoweka na,mimba wakati hata hawajui watoto wanakuja nini.
Bogus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewakumbukeni sana[emoji39][emoji39]