Mkuu wewe naona hawa New Edition wanakukuna sana. Nakumbuka kushika Album yao moya nikiwa mdogo sana ya wimbo wa Candy girl. Hii itakuwa ni moja ya nyimbo zao za kwanza kabisa wakiwa chini ya Silas Jr kama Producer. Wimbo wao ninaouzimia zaidi ni
a little bit of love na siwezi kuficha kuwa
Cool it now, mhhh....
Badala ya Shai, mie nakupa Silk - Freak me.
Jodeci nakuacha vilevile ila nakupa wimbo wa FENNIN' featuring Marehemu Roger Troutman na T
alk Box yake.
Color me Badd, hapo sina cha kuongeza wala cha kupunguza...... Chaguo safi sana.
Vipi kuhusu hiki kibao?
YouTube - H-town Knockin the boots