Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,

Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso

Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny

Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa
 
Hiyo amapiano ni nini ?
 
Iyo ngoma ya iyo umeiweka apo baada ya kuona Rolls Royce nyimbo hata haina siku kwa media
 
Back
Top Bottom