mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Goma Kali sana hiliAmber lulu hawezi kuwa anywhere near to be a proper music artist lakini ile amapiano yako ya una shingapi kali sana pia.
Nyimbo zake zote nilizozisikia ni nzuri.Amber lulu hawezi kuwa anywhere near to be a proper music artist lakini ile amapiano yako ya una shingapi kali sana pia.
Ur very smart manLengo la hii thread ni kusema wimbo wa Diamond mbaya, uko kwingine kote anazunguka tu kama tairi
Hiyo amapiano ni nini ?Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano,
Bora zaidi
1. Anajikosha. - Harmonize
2. Mama Amina - Marioo
3. Sadakalawe harmonize
4. Kamseleleko - Mbosso
Mbaya Zaidi
1. IYo diamond ft vocalist
2. amapiano - Baba Levo
3. Zezela nyoko - Baba Levo ft rayvanny
Ukweli unauma, nyimbo kuwa na views wachache si kwamba mbaya.
Embu sema sasa
Kama wamekupa majibu naomba unitag kwenye jibuSamahani Amapiano ni vitu/muziki gani??
Sengeli la kisauziAmapiano ni muziki mbovu sana
Anazunguka kama Tairi za rozi roisi🤸🤣🐒Lengo la hii thread ni kusema wimbo wa Diamond mbaya, uko kwingine kote anazunguka tu kama tairi