Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

Umefeli hapo!

Bangers ni hizi:
1.Mama Amina
2.Anajikosha
3.Una sh.ngapi
4.Iyo

Hizo zingine zote utopolo tu!
 
Kwangu mama Amina ni namba 1
ikifatiwa na Anajikosha /nina hamu ya kutooo toto ikishika no3[emoji2][emoji2].. no 4 ni hio ngoma Iyo unaiona iyo, ila wasauzi wamenfunika sana Diamond hasa focalistic.... zingine hata kuzijua sizijui kwakweli!
 
amapiano kibongo bongo bado sana tuwaachie wenyew S.A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…