Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

Ww konde gang
 
Hater
 
Hebu tuanze hapa Diamond alipo kosea kwenye IYO:
(a)PRODUCTION;beat nyepesii, ukisikiliza amapiano za wenyewe wenye mziki wao (wasauzi) beat lazima idunde na iwe ya kushiba haswa Kwan mziki husika umeegemea zaidi katika angle ya kuchezeka but S2kizzy alichkifanya mule hakikutosheleza na ameonesha kwamba amapiano sio anga zake kama ilivyo kwa Afro pop na Dance Hall anavyozionea hili kosa limefanya ngoma kukosa vibe kabisa compared to sandakalawe au anajikosha au hata sh ngapi yaan kama alitaka kumchukua producer Mtanzania angemchukua Dax au kma angetaka beat kali ya amapiano angemchukua msauz tu maybe DJ MAPHORISA wa mama Amina au DJ OBZA wa MANGDAKIWE.
(b) IDEA YENYEWE: kuna mtu amesema kwamba amapiano ni singeli za sauzi nimuunge mkono katika Hilo, Singeli bongo zote zinazokua hitsong idea I nakuaga ya tofauti au ya kuamsha mwanzo mwenga au vyote kwa pamoja rejea CHURA SUPASTAA, MADANGA YA MKE WANGU, HAINAGA USHEMEJI, NAKUJA, STRESS vivo hivyo kwa singeli za sauzi zilizopenya Bongo Zina sifa zinazofanana rejea MANGDAKIWE, KE STAR, SANDAKALAWE, SH NGAPI,MAMA AMINA nk..
(c)KUSIKIA AMAPIANO KALI KABLA YA KUTOKA IYO: kabla Godfather wa mziki wa bongo kutoa IYO masikion mwetu tayar zilishasikika ngoma kali sana ivo ya kwake haikutushtua kabisaa had tunamuweka marioo kwenye toplist ya amapiano bongo.

Hayo ndo niliyoyaona mimi wewe umeona nini?
 
List hii bila kuwa na darmian soul- mapopo ni UDAKU umekaa kishabiki sana
 
Thank God maana hizo nyimbo tatu zinazosemwa mbaya sizijui au sijui kama nazijua na wala sijali[emoji41]
 
Asee shukrani.. nilisha wambiaga watu hivi lakin walinibisha hatari , watu wanashindwa kutofautisha kati ya wimbo mzuri na mapenzi..

Upo sahihi ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…