Nyimbo ambazo azijawahi kuchosha kusikiliza

1. Malaika nakupenda malaika
2. Rangi ya chungwa
3. Roho 7 nakupenda hip hop
4. Sauti ya Manka ya Gk
5. Kamanda
6. CCM mbele kwa mbele
Au uongo ndugu zangu
Hiyo Namba 6 daah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kuna watu hapa wanashangaa hawaoni nyimbo zao wanazozipenda zikitajwa .
 
Umetishaaa kk[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…