Nyimbo ambazo azijawahi kuchosha kusikiliza

Nyimbo ambazo azijawahi kuchosha kusikiliza

Huu uzi nimeuwekea lamination Tatar’s ngoma zote hizo nazipakua
 
I need you - Marc Anthony
You sang to me - Marc Anthony
Still - Dr. Dre
Kokola - Tshala Mwana
Nakei Nairobi - Mbilia Bel
Nadina - Mbilia Bel
 
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya diamond
5.amigo ya Les wanyika

Zipo nyingi ila siwez dondosha zote ebu share zako kweny comments [emoji116]
Tamala_Hardmad
 
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya diamond
5.amigo ya Les wanyika

Zipo nyingi ila siwez dondosha zote ebu share zako kweny comments [emoji116]
Zali la mentali
 
Gheto langu -Ngwea
Kimya kimya-Jay moe
Latifa-Mb Dog
Mapenzi yana run dunia-Alikiba
Wasiwasi-Banana Zorro
Siwema-Jaydee
Tatizo Umaskini-Vumi
Zuwena-Mr Paul
Neema -Bushoke
Neema-Washikaji
Ratiba- Snaa lee
Mtoto wa kiume-Geeze Mabovu
Niamini-Prof Jay
Fikiria-Mez B
Jacky-Dully Sykes

Yaan list ni ndefu sana
Hivi huu wimbo wa mapenzi yana run dunia watu wanaupendea nini? Maana mimi ni shabiki wa kiba lakini hata top 50 ya nyimbo za kiba siuweki labda sijaupa sikio vizuri
 
Mngefanya kuzitupia hapa kama alivyofanya Detleff hapo juu ili tupate burudani hapa
 
Back
Top Bottom