Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Heshima kwako mkuu pantheraleo, kuchemsha imo!Gonjwa hili limezua kizazaa....mzozoo...gumzoo......ni kazenzee... By OCG na All that she wants ndio jina kamili la nyimbo ya Ace of base.
mkuu Confirmation ilikuwa ni jina la Albam ya pili ya Extra yenye nyimbo kama Kende, Success Extra, Angela, Denide na nyengine kali...
MCHIZI WANGU Rmx
Halafu kuna moja jina limenitoka ila wanaimba Chibalonza usimwabudu Yesu kwani ni mzungu. Halafu yeye anamjibu mwenzake anayemwambia hivyo.
Ngoja niutafute, afu ntaja rejesha jibu pantheraleo
Inaitwa uliniumba nikuabudu.
Mh!
pantheraleo...huu mwimbo naujua wote.
Lakini natatizika hapo unaposema "usimuabudu ni mzungu"
au umechanganya majina ya wimbo mkuu?
Inawezekana jina sio lenyewe.
Inawezekana boss.
kwahiyo megeuza hili thread chart room siyo?
Up in smoke tour lilikuwa bonge la tour. Ile cd kila nikitazama inanipa mzuka wa kushika mic. R.I.P Nate Doggy. Holla Warren G.
kuna hii hustler is back ya fally ipupa new release ni hatari tupu
alafu kuna huyu kimwana alikuwa kwa koffi olomide anaitwa bibicia,, hatari tupu, wahenga walisema uzuri wa nyumba ni choo,, kweli choo alikuwa nacho
walay danico ya jean bidiel mpiana, tsha muntu tsha muntu ni hatari tupu
kwahiyo megeuza hili thread chart room siyo?
Ni chat room sio chart room. Unaungua jua tu.
mpaka sasa hakUna Concert kama ile katika ishu ya Hiphop Duniani...
Kwanza mnyamwezi Ice Cube anavyoshushwa na Cube ni balaa.
Kisha anapokwenda break anarudi na genge zima la west side connection.
Dah huyo WC anavyokuja kuswing pale huku kaweka All Star mguuni ni balaa.
then anapokuja Mzungu Marshall Marthers III na crew nzima ya D12 utachizika zaidi.
R.I.P Man Proof.
Hitimisho ni pale from Long Beach and Compton, hapa nawazungumzia Andre Young na Calvin Bloadus yaani Mamen Dr Dre na Big Snoop Dogg...sheenz Type Smoke tour ni lavel za Mbinguni kwa kweli...
Heshima kuu na za pekee zimuendee Best video Director Phillip G. Atwell kwa kufanikisha kuifanya smoke tour iwe kama Movie kwa kweli...