Nyimbo ambazo sichokagi kuzisikiliza

Nyimbo ambazo sichokagi kuzisikiliza

5 oclock by none cholate...kiling me sofly naukumbuka sana huo wimbo nilikuwa A level tabora boy alafu nikaenda disco muungano mesi,hahaha nikaopoa katoto ka uhazili kiulaini,yaani nilikuwa namuimbia mwanzo mwisho,my way by usher raymond,chezea end of the road by boyz to men..list ni ndefu jaman
 
mkuu Confirmation ilikuwa ni jina la Albam ya pili ya Extra yenye nyimbo kama Kende, Success Extra, Angela, Denide na nyengine kali...

Kweli umenikumbusha mkuu, unajua hata hizo nyimbo nilikuwa nimezisahau!!!
 
Up in smoke tour lilikuwa bonge la tour. Ile cd kila nikitazama inanipa mzuka wa kushika mic. R.I.P Nate Doggy. Holla Warren G.
 
hiii ngoma huwa inanikumbusha mbali sana,, hapo alikuwa fally ipupa,, montana, bouro mpella, papa mopao mokonzi,, bonge la rhuma
 
Last edited by a moderator:
kuna hii hustler is back ya fally ipupa new release ni hatari tupu

alafu kuna huyu kimwana alikuwa kwa koffi olomide anaitwa bibicia,, hatari tupu, wahenga walisema uzuri wa nyumba ni choo,, kweli choo alikuwa nacho

walay danico ya jean bidiel mpiana, tsha muntu tsha muntu ni hatari tupu
 
Last edited by a moderator:
Up in smoke tour lilikuwa bonge la tour. Ile cd kila nikitazama inanipa mzuka wa kushika mic. R.I.P Nate Doggy. Holla Warren G.

mpaka sasa hakUna Concert kama ile katika ishu ya Hiphop Duniani...
Kwanza mnyamwezi Ice Cube anavyoshushwa na Cube ni balaa.
Kisha anapokwenda break anarudi na genge zima la west side connection.
Dah huyo WC anavyokuja kuswing pale huku kaweka All Star mguuni ni balaa.

then anapokuja Mzungu Marshall Marthers III na crew nzima ya D12 utachizika zaidi.
R.I.P Man Proof.

Hitimisho ni pale from Long Beach and Compton, hapa nawazungumzia Andre Young na Calvin Bloadus yaani Mamen Dr Dre na Big Snoop Dogg...sheenz Type Smoke tour ni lavel za Mbinguni kwa kweli...

Heshima kuu na za pekee zimuendee Best video Director Phillip G. Atwell kwa kufanikisha kuifanya smoke tour iwe kama Movie kwa kweli...
 
kuna hii hustler is back ya fally ipupa new release ni hatari tupu

alafu kuna huyu kimwana alikuwa kwa koffi olomide anaitwa bibicia,, hatari tupu, wahenga walisema uzuri wa nyumba ni choo,, kweli choo alikuwa nacho

walay danico ya jean bidiel mpiana, tsha muntu tsha muntu ni hatari tupu

Mkuu unatakiwa uanze kumtaja kwa majina haya ''Mareshare Mukulu Suveree premier Binaadamu kisha ndo kwa upole kabisa unamalizia Jean Bedel Mpiana''...
utalisikia balaa lake katika wimbo unaitwa Non Comment Shengen...ni wimbo wa pili katika Albam ya Pentagon...
Huyu jamaa ni khatar sheikh
 
Last edited by a moderator:
mpaka sasa hakUna Concert kama ile katika ishu ya Hiphop Duniani...
Kwanza mnyamwezi Ice Cube anavyoshushwa na Cube ni balaa.
Kisha anapokwenda break anarudi na genge zima la west side connection.
Dah huyo WC anavyokuja kuswing pale huku kaweka All Star mguuni ni balaa.

then anapokuja Mzungu Marshall Marthers III na crew nzima ya D12 utachizika zaidi.
R.I.P Man Proof.

Hitimisho ni pale from Long Beach and Compton, hapa nawazungumzia Andre Young na Calvin Bloadus yaani Mamen Dr Dre na Big Snoop Dogg...sheenz Type Smoke tour ni lavel za Mbinguni kwa kweli...

Heshima kuu na za pekee zimuendee Best video Director Phillip G. Atwell kwa kufanikisha kuifanya smoke tour iwe kama Movie kwa kweli...

Uuuuuuwiiiiiiii.....GANGCHOMBA umeielezea nikawa kama vile naiona. Duh! Kuna watu wamepinda dunia hii. Yani zile mambo wanazofanya pale,utadhani hakuna kufa. Eminem na ule mdoli(toy) la Mariah anavyoli fu*k.
 
Back
Top Bottom