MAHENDEKA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2010
- 337
- 179
Huu wimbo ninao asee nipm nikutumie ..aloimba sio diamond wimbo unaitwa masebene..Hapa kuna Wataalamu natumaini nitapata Msaada. Kuna Wimbo mmoja wa Bongo Fleva nimeusikia kama mara mbili tatu tu lakini nikaupenda sana. Tatizo ni kuwa sifahamu jina la wimbo wala la Muimbaji wake (sauti nilisikia kama Diamond Unless alikuwa amekaribishwa collabo tu!)ila Chorus ina maneno haya:
...'Sijazoea masebene mimi, ni bora uniache/tuachane'
' kukupenda kwangu xxxxxxxxxx, kumbe mwenzangu mawengu...'
Kitu kama hicho. Nitashukuru sana kwa atakayeweza kunipa jina la Wimbo na Muimbaji wake. Shukurani Zimetangulizwa.
Sent using Jamii Forums mobile app