Duuh..Wimbo wa Diamond ulionikamata sana ni AJE
Wimbo bora wa Diamond.........Nyimbo bora za Diamond.Mimi kwa upande wangu nyimbo ambayo Diamond amefanikiwa kuuteka moyo wangu mpaka nikahisi yupo kwenye ubora wake ever ni MAWAZO.
Wewe je?
MatatizoMimi kwa upande wangu nyimbo ambayo Diamond amefanikiwa kuuteka moyo wangu mpaka nikahisi yupo kwenye ubora wake ever ni MAWAZO.
Wewe je?
ubaya kinachoniumizaMungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe
Ooh Ila mpe shukrani, kwa kuniumiza suraya
Mwambie me bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu. ....
Tatizo me bado, nilipoteleza nikakosa sipajuiubaya kinachoniumiza
maneno neno maneno
hasa kwa ndugu rafiki
kwa nini anawapa misemo
wakikuona, wakikuona,Tatizo me bado, nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui....
Haha haya nasubiri wanionewakikuona, wakikuona,
wakuambie nimekumiss 🙂
Haha halafu upo poa?Haha haya nasubiri wanione
Yeah namshukuru Mungu, sijui weweHaha halafu upo poa?
Mungu ni mwema...yote kheri my dear!Yeah namshukuru Mungu, sijui wewe