Nyimbo bora ya Diamond

Nyimbo bora ya Diamond

Kabla ya Mawazo sikuwahi mkubali Diamond..

Wimbo huu ndio uliifanya nchi ipay attention
 
Mpaka Napata Midadii Wapi unataka Mikadii / Ah Kote mi nipo ah Sema Beautiful....
anyway Bado sijawa disapointed na wimbo hata mmoja kutoka kwa Naseeb
 
Mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
Yashanipiga sasa sina budi nielewe
Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu
Japo ni shida ila nitabaki mwenyewe

Ooh Ila mpe shukrani, kwa kuniumiza suraya
Mwambie me bado mahututi nauguza kidonda changu
Na asisikie asilani mwambie mapenzi mabaya
Hata angali hai Kairuki asingetibu gonjwa langu. ....
ubaya kinachoniumiza
maneno neno maneno
hasa kwa ndugu rafiki
kwa nini anawapa misemo
 
Back
Top Bottom