Nyimbo bora ya Diamond

Hahaha limekufika hapa Leo. Btw umemissika sana

Pamoja na baadhi ya mahoteli ya kifahari kugeuzwa hosteli kutokana na ukata, wengine kufunga biashara zao, wenginekutumbuliwa, ninyi wenzetu mmewezaje ku party huko kwa sherehe ya "Balotelli"?
[ Samahani jina la la Party ya JF gumu ]
 
Hahaha kwa hiyo ndo hata tusinywe soda kisa mapadlock?
 
Tunza hizo risiti. TRA na Polisi siku ya Jumatatu watazingira nyumbani kwako/kwenu.

Pia kumbuka kuandaa risiti za "party ya Balotelli".

[Bandari inakosa mapato kumbe kunawatu mnatufanyia hujuma huko eeh?]
Nikikamatwa ntahamia kwako
 
Hadi raha...tuwaombee na anayekuja kujumuika kuongeza namba kwente familia yake na mkewe Zari afike salama na kumpa afya njema Zari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…