Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo me bado, nilipoteleza nikakosa sipajui
Mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui....
Hahaha limekufika hapa Leo. Btw umemissika sanaKwa mashairi hayo ya Diamond, kweli mko vizuri; "wawache miaka 1000"...
Hahaha limekufika hapa Leo. Btw umemissika sana
Hahaha kwa hiyo ndo hata tusinywe soda kisa mapadlock?Pamoja na baadhi ya mahoteli ya kifahari kugeuzwa hosteli kutokana na ukata, wengine kufunga biashara zao, wenginekutumbuliwa, ninyi wenzetu mmewezaje ku party huko kwa sherehe ya "Balotelli"?
[ Samahani jina la la Party ya JF gumu ]
Hahaha kwa hiyo ndo hata tusinywe soda kisa mapadlock?
Nimeuza karanga nika-save vijicent. Tunaweka shida chini. .........Mnatakiwa mtumbuliwe ninyi.
Hizo pesa za "kuparty kwenye hiyo Balotelli"mnatoa wapi wakati watu wengi kwa sasa mtaani wanalia ukata?
Nimeuza karanga nika-save vijicent. Tunaweka shida chini. .........
Hahaha ninazo ndiyoUnarisiti za EFD ya hizo karanga ulizouza? Tuanzie hapo...
Hahaha ninazo ndiyo
Nikikamatwa ntahamia kwakoTunza hizo risiti. TRA na Polisi siku ya Jumatatu watazingira nyumbani kwako/kwenu.
Pia kumbuka kuandaa risiti za "party ya Balotelli".
[Bandari inakosa mapato kumbe kunawatu mnatufanyia hujuma huko eeh?]
Nikikamatwa ntahamia kwako
He he he imekucostHamia kabla hujakamatwa...
He he he imekucost
Basi sawaHaiwezi "kucost" hata kama haiko kwenye bajeti.
Lazima wote tuhamie Dodoma, ni lazima...