Nyimbo bora ya Diamond

The earliest were natural and attractive...the latest are full of blablabla..ashakuwa dancer Sasa. Check out Mbagala, ukimwona, kamwambie, Moyo wangu..n.k then compare with Kidogodogo, Nana, kitorondo... I want back my Natural Diamond who was more Lyrical. Not rhythmical......hii si reggae...
 
Inashangaza uzi wa julai ila bado mods hawajaona makosa ya kichwa cha uzi huu.


Wingi ...umoja
Nyimbo ..ya
Ilipaswa kuwa
"Wimbo bora wa diamond....."
 
Heee shikamoo mjukuu kumbe na wewe su haba atii
 
Mawazo, Nitarejea na Je Utanipenda.

Diamond anajua kuimba kwa hisia jamani kha! Hapati tuzo kwa kubahatisha aiseee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…