Nyimbo bora ya Diamond

Nyimbo bora ya Diamond

Wimbo ulikuwa Kamwambie tu labda na Mbagala nyingine zote makelele
 
Ila huyu mtu hajawahi toa wimbo mbaya, ndio maana baadhi ya watu wakisema diamond hajui kuimba siwapatiagi jibu.
 
Mwimbo mkali wa Diamond ambao hautachuja milele ni " Kizai zai"...mashairi yamepangwa na yana ukweli in real life!
 
Back
Top Bottom