Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

Nyimbo gani inaendana na hali yako ya mahusiano?

Weye je hunipendi..?
Hutaki kuniruhusu kulishika pindo la vazi lako..?
Vipi je,hutaki pia nikuimbie mapambio ya kuusifu mwili wako uliojaa vizuri na kubonyea pale palipostahili.. niruhusu niitandaze mikono yangu kwenye mwili wako ili uione kazi ya ufundi stadi iliyotukuka..😉
Urembo wako usiopimika unaufanya urijali wangu kuweweseka mbele yako!,nimekupa Moyo wangu,chagua langu tukaishi mbali na mwewe!
Nitakilinda hata kimvuli chako kisichezewe!.. nauthamini hata ukucha wako unaozalishwa na kiumbe nimpendae!
Nipe nafasi ya upunje nikuonyeshe ya nafsi yalivyomatamu usiwakumbuke hata kina andunje..
nyie jamani 😊😊😊 aah ntaanguka ujue
 
You and I

We don't wanna be like them
We can make it 'til the end
Nothing can come between

You and I

Not even the Gods above
Can separate the two of us
No, nothing can come between

You and I

ooooh yuuu end aiii..... 🤗
 
Sorry,Blame It on Me-Akon..


You Can Put The Blame On Me/

Said You Can Put The Blame On Me/
 
Hahaha...
Kila nikitafakari, zinanijia singeli na mnanda. Qmamake, mapenzi haya.
Umefanya nikumbuke...

Wimbo wa Dogo Skide-Demu Wa Aslay..-Aisee Humu demu kapigwa maneno machafu mno..

Dogo aliyakanyanga kwa yule demu wa aslay:-
demu nguo yandani imekakamaa kwa kutoifua/

Meno yake ka'Wachezaji wa yanga/

Kitandani gogo,Akisaula chumbani hakukaliki./

Magonjwa ya ngono anayoyote/

Dogo skidee anamtusi sana ya rejareja hahaaha...nzurii zaiidi anakwenda vyema na mdundo na maneno yake.


Au...

Kuna Wimbo wa Dogo Mwala-Tuma na Yakutolea..

Asubuhi demu anataka Chai,Jioni Alale na Chips Mayai.
 
Back
Top Bottom