Nyimbo gani unazipenda ukiwa na bia mkononi/mezani baa?

Nyimbo gani unazipenda ukiwa na bia mkononi/mezani baa?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Yaani kabla hujaanza hata kuyumba yumba.

Nyimbo gani zinakupa burudani ya aina yake moyoni ukiwa baa/club?

Kiasi kwamba unaweza kutumia mpaka hela ya nauli au bajeti ya kesho ikavunjwa bila kujielewa.
 
Ajabu nikilewa naimba za injili sana sana ule AJIBUYE MAOMBI YETU. Baba uniambii kitu mkononi bia mdomoni "Yupo Mungu mbinguni ajibuye maombi yetu, tunapoomba asikia anajiiibu oooh baba. Muulize hayati Magu anaujua huuu uko aliko
 
Hahahahaha...upo kam jamaa yangu mmoja yeye akilewa anaanza kuimba ekwuemeeee ekweumeee...you are the livingiiii gad oo
 
Kila nikinywa k vant basi lazima kwenye radio yangu ngoma ya ccm mbele Kwa mbele,Au arambe arambe mama ya marehem komba iwe inapigwa
 
Duh sijawahi kuipenda pombe ulevi wangu kahawa...kuna siku nilimjaribu john mtembezi on rock duhhh sio kwa kutapika huko....kina whisky,wine,spirits,liquors wote sielewani nao nikiwa na kahawa yangu niwekee mambo ya muziki wa country kama gumbler basi najikuta Niko London kabisa Halafu ukute kuna baridi weeee acha kabisa.
 
....wananiita boss, jina la utani tenene....

Sijajuaga ni nani ameuimba huu wimbo
 
0-3 country
4-9 bolingo na zouk
10-12 80s
13-15 [emoji349] kuopoa
 
Back
Top Bottom